
ANZA KUTEMBEA TENA KWA UHURU NA KUONDOA MAUMIVU YA VIUNGO BILA UPASUAJI WALA KUTUMIA DAWA ENDELEVU
Gundua Siri Ya Asili Inayotumiwa Kwenye Zaidi Ya Nchi 160 na imewasaidia maelfu ya watu Kuondosha maumivu ya viungo

Habari, naitwa Dr. Othman, niko Zanzibar Kariakoo, nimejikita katika kutoa suluhisho kwa njia ya asili kwa changamoto za maumivu ya viungo, magoti, na uti wa mgongo.
Katika kipindi hiki, nimefanikiwa kuwasaidia watu wengi ambao walikuwa wamekata tamaa, wengine wakifikiria kufanyiwa upasuaji wa gharama kubwa, na wengine wakiteseka na madhara ya kumeza dawa za maumivu kwa muda mrefu, hivyo kama wewe pia unapitia hizo changamoto basi upo sehemu sahihi na salama
NAKUELEWA KABISA UNACHOPITIA

Najua ni ngumu sana kufurahia maisha, kutimiza majukumu yako ya kazi, kucheza na familia, au hata kufanya ibada kwa utulivu unaposumbuliwa na maumivu makali ya viungo. Lakini ondoa shaka, leo nitakuonyesha njia ya asili na salama ya kumaliza tatizo hili kutoka kwenye chanzo chake.
Soma maelezo haya kwa utulivu mpaka mwisho, ili ugundue asili ya tatizo lako na jinsi ya kumaliza tatizo hili kabisa.
KABLA SIJAKUONYESHA SULUHISHO, NI VYEMA KUFAHAMU CHANZO CHA TATIZO LAKO

Katika sehemu inayokutana mfupa kwa mfupa (joint), hua kuna vifupa laini yaani katika kila mwisho mfupa, kitaalamu kinaitwa Cartilage, hua kinafanya kazi kwa kukukinga mifupa yenyewe isigusane moja kwa moja (kama ingelikua haipo hii cartilage basi mifupa ingegusana na kupelekea msuguano na ungelikua unapata maumivu makali mnoo) na pia ina kua kama shock up ili utembee bila ya kupata maumivu kama unavyoona picha ya juu.
Sasa icho kifupa laini ili kifanye kazi vizuri lazima kuwepo na UTE kitaalamu tunauita synovial fluid ambao utalainisha hio joint kama vile girisi inavyolainisha vyuma kwenye mashine ya gari.
UKWELI AMBAO WENGI HAWAUJUI NI HUU 👇🏽
TATIZO LAKO SIO MAUMIVU, TATIZO LAKO NI UTE KWENYE VIUNGO
Kutokana na maisha yetu ya sasa ivi tunaingiza sumu sumu nyingi mno (toxins), tunakosa lishe muhimu kupitia vyakula, maisha ya kutojishughulisha, uzito uliopitiliza na kutokunywa maji ya kutosha na Ukijumlisha na umri wako (japokua sasa ivi wapo vijana wanaopitia hii hali kutokana na mfumo huu wa maisha)
Vyote ivo vinachangia ute kuisha.
Ndio maana changamoto ya kukosa ute kwenye viungo (joint) sasa ivi imekua kubwa mno kutokana na mfumo wetu wa maisha tunaoishi.
MATOKEO YAKE

Vifupa laini vinaanza kusuguana, msuguano huu ndio unaleta maumivu makali, uvimbe na hatimaye vifupa laini vinaharibika na mifupa inaanza kusuguana moja kwa moja (usingoje ufike kwenye hii hatua maana hapo maumivu yanakua makali mnoo na unaweza kupata ulemavu wa kudumu na hata gharama zake za matibabu zitazidi maradufu zaidi na ukifikia huku ni operation unakuhusu)
Na ndio unakuta kuna watu wengi walianza kupita hayo maumivu kwa kiwango kidogo na walikuwa wanaweza kufanya shughuli zao japo kwa shida, vifupa laini vilipoanza kuharibika wakawa wanashindwa hata kunyanyuka kutembea hatua mbili tatu.
TUKIZUNGUMZIA UTI WA MGONGO

Mtu hua ana pingili 33 za uti wa mgongo, baina ya kila pingili ya mgongo kuna kifupa laini kitaalamu tunakiita Disc

Diski ikiwa na UTE na maji ya kutosha inakua kama sponji lenye maji,
...
ni laini, linabonyea, na linazuia msuguano baina ya pingili moja na nyengine hata ukibeba kitu kizito.
Diski iliyokua haina ute na maji, inakua kavu, inakakamaa na inakua rahisi kupasuka na kuchomoza mbele ndipo inapoenda kugandamiza Mshipa wa Fahamu au inasinyaa na kua nyembamba mwisho wa siku pingili za mgongo zinapandiana kama unavoona kwenye picha ya juu, haya yakitokea yatakuletea maumivu makali sana ya mgongo au ganzi miguuni.
Ushawahi Kujiuliza Jambo Hili? 🤔
Watu wengi huamini kua changamoto yao ilianza baada ya kubeba mzigo mzito au kukaa vibaya ofisini, lakini hebu tujiulize 🤔
Kwanini kuna wenzako mliofanya nao kazi zilezile ngumu, lakini mpaka leo viungo vyao viko salama na hawana maumivu yoyote?
Ukweli Wa Kitaalamu Ni Huu:
Kazi ngumu au mkao mbaya ilikuwa ni kichocheo tu.
Chanzo halisi ni kwamba, ndani kwa ndani viungo vyako vilikuwa vimeshakosa ulinzi muda mrefu. Aidha ulirithi udhaifu kwenye vinasaba (genetics), au viungo vyako vilikosa lishe bora ya kurudisha "Ute" uliokuwa unatumika.
Mzigo ulioubeba ulikuta kiungo kikiwa tayari kikavu na dhaifu, ndiyo maana kikashindwa kuhimili.
HILI NI KOSA LA WATU WENGI

Asilimia kubwa ya watu wanatibu DALILI lakini wanasahau kutatua CHANZO CHA TATIZO. Wakiona maumivu wanakimbilia kunywa dawa za kupunguza maumivu na za kuchua.
Vidonge vya maumivu haviongezi ute, vinakudanganya tu usisikie maumivu huku mifupa ikizidi kusagana na kuharibika zaidi.
Sikatazi watu wasitumie dawa za maumivu, endelea kutumia ila usijisahau, unatakiwa utafute suluhisho la moja kwa moja na ndio maana uko hapa na hakika umefika sehemu sahihi.
SULUHISHO LA KUDUMU LIPO HAPA 👇🏽👇🏽👇🏽
Siri ya kupona na kuondoa maumivu moja kwa moja ni kurudisha UTE na virutubisho stahiki kwenye viungo vyako. Ndiyo Maana tumekuandalia hii VIRUTUBISHO LISHE vya Joint Package

Huu ni mfumo kamili wa virutubisho lishe asilia ulioundwa maalum kukusaidia juu ya changamoto yako ya viungo kutoka kwenye chanzo chake
Mfumo huu unakusaidia kwa kupitia mambo makuu matatu: Kurudisha 'Ute' uliopotea, kuondoa uvimbe (inflammation) kwa ndani, na kujenga upya vifupa laini (cartilage) zilizosagana hivyo hapa unaokoa gharama kubwa zaidi za kufanya operation
HIVI NDIVYO JOINT PACKAGE INAVYOENDA KUBADILISHA AFYA YAKO HATUA KWA HATUA NDANI YA SIKU 30 TU
1. Package hii ina mchanganyiko asilia wa Hyaluronic Acid na Glucosamine ambavyo vinafanya kazi ya kufyonza maji na kurudisha "Ute" uliokauka kwenye viungo vyako ili kuzuia mifupa isisagane huku vikijenga upya vifupa laini (cartilage) vilivosagana.
Kwahiyo utaweza kukunja magoti na kutembea vizuri bila maumivu wala kusikia ile sauti ya msuguano, na matokeo yake utaweza kurudi kwenye majukumu yako ya kujiingizia kipato na kufanya ibada kwa uhuru kabisa na shughuli nyengine huku ukiokoa mamilioni ya pesa ambayo ungetumia kwenye upasuaji.
2. Package hii ina mchanganyiko maalum wenye nguvu ya asili ya kuondoa uvimbe (kama vile MSM na tumeric) ambavyo vinafanya kazi ya kuzima visababishi vyote vya maumivu ya viungo kutoka ndani.
Kwahiyo, utaweza kutembea tena bila maumivu, kupanda ngazi, na kupinda mgongo wako kwa urahisi, na matokeo yake utaweza kufurahia uhuru wa kufanya shughuli zako zote mwenewe kikamilifu, bila kutegemea msaada wa mtu au kutumia fimbo.
3. Package hii ina mchanganyiko wa asili wa kusafisha mwili ambao unafanya kazi ya kuondoa sumu zote unazoziingiza mwilini kila siku na kukata mzizi wa uvimbe (inflammation) kwa ndani.
Kwahiyo, inautengenezea mwili wako mazingira rahisi ya kujiponya wenyewe haraka, na matokeo yake utaweza kulinda viungo vyako visiendelee kuharibika na kuachana kabisa na adha ya kumeza vidonge vya kutuliza maumivu kila siku.
Pia package hii inaambatana na lotion maalum ya asili ya kupaka inayopenya
...
ndani kabisa ya ngozi ambayo inafanya kazi ya kulegeza misuli iliyokaza na kutoa unafuu wa haraka sana wa maumivu kwa nje.
Kwahiyo, utapata utulivu wa papo hapo pindi maumivu makali yanapokushika, wakati virutubisho vya ndani vikiendelea kujenga ule Ute.
Tayari Tumewasaidia Mamia Ya Watanzania Kumaliza Maumivu Ya Viungo. Tumeona Ni Vyema Tukuwekee Baadhi Ya Shuhuda Zao Hapa Chini.
"Lengo la jumbe hizi sio kukushawishi ununue, bali ni kukuonyesha kwa ushahidi wa wazi kuwa, hata wewe unaweza kurejesha 'ute' wako na kutembea tena bila kutegemea vidonge."
Peleka kulia na kushoto kuona picha nyengine 👇🏽👇🏽
Watu wengi husubiri mpaka hali iwe mbaya sana ndipo wachukue hatua. Lakini ukweli ni kwamba, kutatua tatizo la viungo sasa hivi ni rahisi na nafuu mara nyingi zaidi kuliko kusubiri kesho.
Hebu linganisha machaguo haya
| Chaguo | Gharama | Athari |
|---|---|---|
| Upasuaji | Mamilioni ya Shilingi | Maumivu ya kisu na miezi ya kulazwa kitandani. |
| Dawa za Maumivu | Gharama ya Maisha Yote na Kwa Muda Kadhaa Inakua Kubwa Sana | Hazitibu chanzo na zinaharibu Figo na Ini. |
| Joint Package | Gharama Ndogo Mara Moja tu Itategemea na Ukubwa wa Tatizo Lako | Unarudisha ute na kupona bila madhara yoyote. |

Hii ni dozi kamili yenye virutubisho lishe 5.
Na Hili ndilo chaguo letu namba moja kwa matokeo ya haraka na ya kudumu na inagharimu Tsh 650,000/=
Kama bajeti yako haikuruhusu kuchukua dozi kamili kwa sasa, usikate tamaa! Tumekuandalia nusu dozi itakayokua na bidhaa 2 muhimu na inayogharimu Tsh 385,000/=
Tunakufanyia free delivery kwa popote utakapokuwepo ndani ya Tanzania
Tutakupatia lotion ya asili ya kuchua inayoitwa Aloe Heat Lotion inayogharimu shilingi 50,000/= wewe tutakupa BURE kabisa! Wahi sasa kabla ofa haijaisha
Hii Aloe Heat Lotion unapaka na inapenya ndani kabisa ya ngozi ambayo inafanya kazi ya kulegeza misuli iliyokaza na kutoa unafuu wa haraka sana wa maumivu kwa nje.
Kwahiyo, utapata utulivu wa papo hapo pindi maumivu makali yanapokushika, wakati virutubisho vya ndani vikiendelea kujenga ule Ute

Ofa hii haitadumu, na tunapokea wateja wachache kwa siku ili kuhakikisha kila mmoja anapata uangalizi sahihi
Sasa Umefikia Hatua Muhimu Sana Ya Kufanya Maamuzi kwa Ajili ya Kesho Yako.
Je, utaruhusu maumivu haya yaendelee kukutesa na kuruhusu tatizo liongezeke mpaka uje ugharamike mamilioni ya pesa baadae? Au utachukua hatua ya busara leo na kuanza safari ya kupona kabisa?
Uamuzi wa mwisho uko mikononi mwako. Mimi nishatimiza wajibu wangu wa kukuonyesha njia sahihi na salama, ni zamu yako sasa kuhakikisha afya yako inakua sawa
Ukianza dozi yako ya viungo leo, HUNA CHA KUPOTEZA isipokuwa hayo maumivu yanayokutesa usiku na mchana. Hakuna mteja aliyewahi kutumia mfumo huu wa virutubisho kwa usahihi kisha akakosa kupata nafuu ya kudumu na kurudisha uhuru wake wa kutembea.
Ndiyo MAANA tunajiamini na kukupa uhakika huu mkubwa... 👇👇👇"

🛑 KAMA BAJETI YAKO BADO HAIJAKAA SAWA KWA LEO...
Usiondoke mikono mitupu! Afya yako ni muhimu. Kama bado unajipanga kifedha kuanza dozi yako, chukua angalau hii ZAWADI
🎁 Gundua Makosa 4 Unayofanya Kila Siku yanayoharibu vifupa laini
FAQs
Maswali yanayoulizwa sana
Virutubisho lishe siyo kemikali au dawa za hospitali, bali ni chakula maalum cha asili kilichosindikwa kwa kiwango cha juu sana. Kazi yake kuu ni kuupa mwili wako zile lishe na malighafi muhimu ambazo unazikosa kwenye mlo wako wa kawaida wa kila siku
Tofauti kubwa ipo kwenye lengo la matibabu na jinsi vinavyofanya kazi mwilini mwako:
Dawa za Kawaida: Kazi yake kubwa ni kuficha dalili. Mfano zinakufanya usihisi maumivu kwa muda baadae maumivu yatarudi kwa kasi.
Virutubisho Vyetu: Kazi yake ni kushughulikia chanzo. Havifanyi usihisi maumivu tu, bali vinausaidia mwili kuupa vitu muhimu unavyohitajia, ili upate kufanya kazi vizuri na upate kujiponya, hivyo hii inakupa matokeo ya kudumu na kukuondoa kwenye utumwa wa kumeza vidonge kila siku.
Hapana, havina madhara yoyote mabaya. Package hii imetengenezwa kwa asilimia 100% kutokana na mimea na madini asilia yaliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu. Siyo kemikali.
Ni salama kabisa kutumiwa na mtu wa rika lolote. Zaidi ya hayo, bidhaa zetu zimethibitishwa na mamlaka za kimataifa na za hapa nchini (kama TMDA), hivyo unatumia kitu kilicho salama na chenye viwango vya ubora wa kimataifa
Ndiyo, unaweza kutumia bila shida yoyote. Kama tulivyoeleza awali, hivi ni Virutubisho Lishe na sio dawa za kemikali, hivyo haviingiliani vibaya na dawa zako za hospitali unazoendelea kutumia. Badala yake, vitasaidia kuimarisha afya yako kwa ujumla na kuupa mwili nguvu ya kupambana. Kama una mashaka sana, tunashauri uwasiliane nasi moja kwa moja tukushauri zaidi kulingana na hali yako).
Kwa sababu Virutubisho Lishe hivi vinausaidia mwili kutatua chanzo cha tatizo kwa kujenga upya cell, matokeo hutofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine kulingana na ukubwa wa tatizo.
Hata hivyo, wateja wetu wengi huanza kupata nafuu kubwa ya maumivu na uvimbe ndani ya siku 7 hadi 14 za mwanzo. Ili kupata matokeo kamili ya kurudisha "Ute" na kuimarisha kifupa laini (cartilage), tunashauri kutumia dozi kamili kwa mfululizo bila kuacha. Kumbuka, lengo letu ni kukupa suluhisho la kudumu, sio nafuu ya siku mbili.
📍 Kama upo Zanzibar: Tunakuletea package yako mpaka ulipo (Delivery) kwa haraka na usalama.
📍 Kama upo Dar es Salaam: Una machaguo mawili; aidha tukufanyie 'Delivery' mpaka ulipo, au tukupe maelekezo na namba maalum ya utambulisho (Order ID) ili ufike moja kwa moja ofisini kwetu kuichukua mwenyewe kwa wakati wako.
📍 Kama upo Mikoani: Tunakusafirishia mzigo wako kwa uaminifu mkubwa kupitia mabasi ya mikoani. Pia, kama una ndugu au jamaa aliye Dar es Salaam au Zanzibar, tunaweza kumkabidhi yeye ili afanye mpango wa kukufikishia.
Bofya Hapa Kuona Utaratibu Wetu Rahisi na Salama wa Kufanya Malipo